GENEVIEVE KUBWAGA MANYANGA JUMAMOSI HII
MISS Tanzania anayemaliza muda wake hivi karibuni Genevieve Mpangala, anatarajia kubwaga manyanga Septemba 10 mwaka huu, baada ya kukabidhi taji hilo kwa mrembo atakaenyakua taji hilo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, ambapo sakata la kumsaka mlimbwende huyo litafanyika.
Washindi kutoka ndani ya mjengo wa miss Tanzania 2011,wakionyesha mikwanja yao baada ya kuzawadiwa kufuatia kuibuka washindi katika shindano la mwenye kipaji cha kuigiza filamu waliloshindanishwa na kampuni ya Papazi Entertainment & Promotion.
kutoka kushoto ni Christine Mwegoha, aliyepata kitita cha dola 200(katikati ni), Zubeda Seif kalamba dola 1000 na mwishoni mwao ni Husna Maulid, tofauti na zawadi hiyo warembo hao pia wamepata fursa ya kufanya kazi na kampuni hiyo.
kutoka kushoto ni Christine Mwegoha, aliyepata kitita cha dola 200(katikati ni), Zubeda Seif kalamba dola 1000 na mwishoni mwao ni Husna Maulid, tofauti na zawadi hiyo warembo hao pia wamepata fursa ya kufanya kazi na kampuni hiyo.
Maofisa wa Papazi wakiongozwa na Mkurugenzi wa Papazi, Hans Zakaria (wa kwanza kulia), wakiwakwenye pozi la pamoja na warembo hao muda mfupi baada ya kuwakabidhi zawadi zao.
Mshriki wa kumsaka miss Tanzania 2011, Husna Maulid akiwania nafasi katika shindano la mwenyekipaji cha kuigiza filamu mahali hapo.
Vodacom Miss Tanzania Top Model, Mwajabu Juma (kushoto) akijibizana jambo na mshiriki mwenzake, Princess Mashonobo.
Majaji wa shindano hilo wakifuatilia vipaji hivyo kwa makini zaidi (kutoka kushoto ni),Yusuf Mlela,Kajala Masanja na Jacqueline Wolper.
0 comments:
Post a Comment