CHEGE & TEMBA WATINGA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA UINGEREZA
|
|
| ![]() |
|
|
| Wasanii wa kundi la TMK wanaume Family Chege na Temba wakiwa katika pozi la pamoja wakati walipotembelea katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza jijini London kabla ya kumaliza show zao nchini humo siku chache zilizopita. Vilevile waliweza kutembelea idara mbalimbali na kujionea jinsi gani Ubalozi wetu hapo jijini London unavyofanya kazi hususani katika idara nyeti ya Uhamiaji inayoongozwa na ofisa Ambokile na Kupiga Picha za pamoja wakiwa na Mh Naibu Balozi Mh Chabaka Kilumanga Pamoja na baadhi ya maofisa wa Ubalozi. |
Habari/Picha: Sufianimafoto Blog.
0 comments:
Post a Comment