BONGO FLAVA, TIMBULO ANASWA AKIDENDEKA KWEUPE!!!
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ally Timbulo (kulia), juzikati alikamatika mikononi mwa kamera ya MATEJA20, akidendeka kwa raha zake na mrembo mm0ja ambae jina lake halikuweza kufahamika mara moja.
Ishu hii ilinaswa katika Ukumbi wa Lamada Hotel Ilala jijini Dar es Salaam, ambapo msanii huyo alikuwa amehudhulia katika shughuli ya Birthday ya msanii wa filamu Bongo, Zuwena Mohamed 'Shilole'.
Timbulo akipata raha duniani kutoka kwa mrembo huyo.
Baada ya kudendeka kwa muda mrefu aliamua kujipoza kwa picha za pozi kama hivi.
Ishu hii ilinaswa katika Ukumbi wa Lamada Hotel Ilala jijini Dar es Salaam, ambapo msanii huyo alikuwa amehudhulia katika shughuli ya Birthday ya msanii wa filamu Bongo, Zuwena Mohamed 'Shilole'.
0 comments:
Post a Comment