Social Icons

Thursday, August 11, 2011

VODACOM TOP MODEL 2011 APATIKANA

Mshindi wa Taji la Top Model Vodacom Miss Tanzania 2011, Mwajabu Juma akipozi mbele ya camera baada ya kutajwa kuwa ndiye mshindi na mrembo wa kwanza kuingia Nusu Fainali itakayokuwa na warembo 15 bora wa Vodacom Miss Tanzania 2011.
Mwajabu Juma akionesha makeke yake baada ya kutangazwa...
Usipokubali kushindwa we si mshindani...warembo wenzake walioingia 5 bora ya Top Model wakishangilia na kukubaliana na matokeo baada Mwajabu Juma kutangazwa.
Top Model wa Vodacom Miss Tanzania 2011 Mwajabu Juma akipongezwa na warembo wenzake.
Kutoka kushoto ni Jeniffer Kakolaki, Alexia William, Zerulia Manonko, Cynthia Kimath na Mwajabu Juma wakiwa katika pozi kabla ya kutangazwa mshindi.

0 comments: