Washini hao wakiwa kwenye picha ya pamoja na mwakilishi wa Tigo.
KAMPUNI ya Simu za Mkononi Tanzani ya Tigo, mapema leo imemwaga zawadi zake kwa washidi wa Promosheni ya Tigo Jipange Kimaisha, kwa washindi wake wanne waliobahatika kwa wiki hii.
Mwakilishi wa Tigo, Pamela Shelukindo (kushoto), akimkabidhi hundi ya milioni tano mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha Rogath Enock wa Bagamoyo leo Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Tigo, Pamela Shelukindo akimkabidhi hundi ya milioni tano mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha bi Judith Kaboko akitokea Mbagala leo Dar Es Salaam.
Pamela Shelukindo (kushoto), akimkabidhi hundi ya milioni tano mshindi wa Promosheni ya Jipange Kimaisha Yasin Adam akitokea Mbagala ijini Dar es Salaam leo.

0 comments:
Post a Comment