VODACOM MISS TANZANIA WAJIACHIA UFUKWENI
VODACOM Miss Tanzania 2011, mapema leo walikutana katika fukwe za Giraffe Hotel na kushiriki michezo ya aina mbalimbali, na hapa nawaletea baadhi ya michezo hiyo ukiwepo wa kuogelea na kuvuta kamba na mchezo wa kwanza ulikuwa huu ingawa hawa walionesha kushinda lakini baadaye walishindwa. upande wa pili mambo yalikuwa hivi na timu hii waliibuka washindi, Licha ya kamba kukatika mara mbili. furaha ya ushindi kwa timu ya wavuta kamba. Warembo wa Vodacom walifungua dimba kati ya timu ya M Pesa na Voda Jamaa.
Hashimu Lundenga naye alishiriki katika soka na hapa akifanya vitu vyake.Ulifika wakati wa kucheza muziki na mshindi wa hapa alikabidhiwa kitita cha sh. 50,000/= aliyekwenda piga msamba ndiye aliibuka mshinda wa shindano hilo.
0 comments:
Post a Comment