AIRTEL YAZINDUA MAWASILIANO MKOANI MBEYA KATIKA VIJIJI VYA IBILILO, WATCO, IKUTI, LITOLA WILAYA YA RUNGWE TUKUYU
Katibu Tawala wa Wilaya ya Rungwe Tukuyu, Moses Mwandete (katikati), akizindua mnara wa Airtel Kata ya Nkunga Ibililo Mbeya (kushotokwake) ni Meneja Uhusiano wa Airtel Jacksoni Mmbando, akishuhudia zoezi hilo na Mwenyekiti wa kijiji hicho, Jackson Ambilikile (kushoto),pamoja na baadhi ya wananchi wa kikijiji hicho.
Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (katikati), akicheza ngoma ya asili na wanakijiji wa Ibililo, muda mfupi baada ya kuhitimisha uzinduzi wa minara ya mawasiliano ya mtandao wa airtel katika vijiji vya ibililo, Watco, Ikuti na Litola mkoani mbeya.
KAMPUNI ya simu za mikononi ya Airtel Tazania,mapema leo