STAR wa filamu Bongo, Zuwena Mohamed, 'Shilole' (pichani juu), jioni ya leo alipata fursa ya kuwaalika baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam kwaajili ya kujumuika kupata Futari nyumbani kwake Kinondoni Sterio jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mateja20, muda mfupi baada ya zoezi hilo kumalizika alisema kwamba ameamua kutengeneza chakula hicho cha jioni, ikiwa ni mahususi kabisa, kwaajili ya kujumuika na waumini wenzake na jia moja wapo ya kujitengenezea baraka zaidi kwa mungu.
Shilole (kulia), akiomba dua na wageni wake.
Baadhi ya waarikwa hao wakipata futari.
Muigizaji wa filamu Bongo, Ruth Suka 'Mainda' (kushoto), akipata futari mahali hapo na waarikwa wenzake.
Hassani Kisanora (kushoto), akiwa sambamba na futari hiyo.
Wakiomba Dua mara baada ya kumaliza kupata futari.

0 comments:
Post a Comment