Social Icons

Wednesday, August 24, 2011

MWILI WA MWAKILISHINA MBUNGE WAZIKWA

Mamia ya wananchi na waumini wa dini ya kiislamu wakiubeba mwili wa marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri Mkoa Kusini Unguja,marehemu alikuwa mwakili wa jimbo la Uzini na mbunge wa kuteuliwa na baraza lla Wawakilishi Zanzibar,(Picha na Ramadhan Othman IKulu)
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,(kutoka wanne kushoto) makamo wa Rais wa jamhuri ya muungasno wa Tanzania Mohamed Gharib Bilali,Mkuu wa Mkoa wa Kusini Mustafa ibrahim,na Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif,walijumuika na waislamu wengine kwa kuusalia mwili wa marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri mkoa Kusini Unguja,marehemu alikuwa mwakili wa jimbo la Uzini na mbunge wa kuteuliwa na baraza lla Wawakilishi Zanzibar,(Picha na Ramadhan Othman IKulu)
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein aksalimiana na wanafamilia wa marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri mkoa Kusini Unguja,marehemu alikuwa mwakili wa jimbo la Uzini na mbunge wa kuteuliwa na baraza lla Wawakilishi Zanzibar,(Picha na Ramadhan Othman IKulu)
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri mkoa Kusini Unguja,marehemu alikuwa mwakili wa jimbo la Uzini na mbunge wa kuteuliwa na baraza lla Wawakilishi Zanzibar,(Picha na Ramadhan Othman IKulu)

Picha kwa hisani ya full shangwa Blog

0 comments: