Social Icons

Monday, August 22, 2011

MARY BANYUKA OUT BSS 2ND CHANCE 2011

Mary Banyuka akiwa kwenye pozi muda mfupi kabla ya kutolewa kwenye mashindano hayo.
Baadhi ya washiriki wa shindano hilo wsakiwa katika pozi la pamoja.
Washiriki hao wakimkumbatia Mary Banyuka (kulia), mara baada ya kutangazwa kutolewa kwenye kinyang'anyiro hicho.
Bella Kombo, akiwa kwenye sura ya hudhuni baada ya shosti yake kutolewa.
Mary Lucas, akiangua kilio baada ya shostito wake Mary Banyuka, kuaga mashindao hayo
Baadhi ya washiriki wenzake na Mary Banyuka, wakimuaga kwa machungu muda mfupi baada ya kuondolewa kwenye mashindano hayo.
Mary Banyuka (kushoto), akiwa kwenye pozi na Imani Lisu (katikati), na Beatrice William.
Mary Banyuka akiangua kilio mara baada ya kupewa mkono wa heli na rafiki yake.
Mshindi wa shindano la Tusker Project Farm All Stars 2011, Peter Msechu (kushoto), akiwa kwenye pozi na marafiki zake katika Fukwe za Mbalamwezi Beach.
Sarafina Mshindo akikamua jukwaani hapo.
Rogers Lucas akiwajibika jukwaani hapo.
Sarafina Mshindo katika pozi
Haji Ramadhani akitetea nafasi yake
Majaji wa Shindano hilo wakiwafatilia ishu hiyo.

KINYANG'ANYIRO cha kumsaka mshiriki wa shindano la


Bongo Star Search Second Chance 2011,juzikati kiliendelea

kusonga mbele ndani ya Fukwe za Mbaramwezi Mikocheni

jijini Dar es Salaam, ambapo baadhi ya washiriki walipanda

tena jukwaani na kuonyesha uwezo wao.

Katika kinyang’anyiro hicho, wikiliyopita Mary Banyuka

aliyaaga mashindano hayo na kubaki washiriki tisa ambao ni

Bella Kombo,Chaby Dayo, Rogers Lucas, Betrice Wiliam,

Waziri Salum, Haji Ramadhan, Imani Lisu na Sarafina Mshindo

huku wawili kati ya hao wakiwa kwenye hatari (Danger

zone), ambaye ni Imani Lisu na Sarafina Mshindo, ambao

mmoja atachapa wao atachapa rapa wiki hii.

0 comments: