skip to main |
skip to sidebar
'MAKUBWA! JAIRO ASIMAMISHWA TENA'
IMERIPOTIWA na kuthibitishwa, kwamba, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini David Jairo, amesimamishwa tena. Taarifakutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo inasema, . Jairo amesimamishwa tena kufuatia kupisha uchunguzi mwingine unaohusiana na tuhuma inayomkabili.
0 comments:
Post a Comment