NDUGU zangu huyu anaitwa Janneth Abdul ni Miss kagera 2011, hapa yupo katika pozi tofauti mbele ya kamera ya Mateja20 blog akipata utambulisho katika gemu la mitindo kuwa ni moja ya MODELs wapya yuko tayari kufanya kazi za mitindo,matangazo ana urefu wa futi 5.11.Wadau wa mitindo kazi kwenu...am out!
Sunday, August 7, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment