Baadhi ya Wanamuziki wa Bendi ya Machozi wakikamua jukwaani hapo.
Chalza Baba (kushoto), akinong'onezwa jambo na Jacob Best, wakati akiimba ukumbini hapo
Jacob Best, akiwa katika pozi ndani ya Ukumbi huo.
Baba ... akiwa kwenye pozi na mkewe
Jacob Best (wa pili kushoto), akidansi na wanamuziki wa Machozi Bendi.
Jacob Best, akipozi na mrembo.
Chalz Baba (wa pili kulia), akisalimia baadhi ya mashbiki wake muda mfupi baada ya kuzama kiwanjani hapo.
Chalz Baba akikamua jukwaani
Jacob Best, akipozi na Chalz Baba wakati akiimba stejini hapo.
Jacob Best, kulia akidansi na mrembo.
'Mpiga Tumba mpya wa Machozi Bendi Mussa Mtoto wa Sinza, akiwajibika'.
Jacob Best, akimtunza Chalz Baba mshiko wa maana
Wanamuziki wa Machozi Bendi, Sam & Mwinyi wakiwajibika jukwaani.
Jacob Best (wa pili kulia), akisogea jukwaani tayari kwa kumwaga noti kwa Chalza baba
USIKU wa kuamkia leo MATEJA20, ilitembelea mitaa ya Mbuyuni jijini Dar es Salaam, na kuibukia ndani ya Nyumbani Lounge, ambayo inamilikiwa na msanii wa Muziki wa kizazi Kipya Bongo, Judith Wambura 'Lady Jaydee', na kubahatika kumnasa msanii wa Bendi ya African Stars International 'Twanga Pepeta' Charles Gabriel 'Chalz Baba' akipiga deiwaka ndani ya kiwanja hicho, ambapo mashabiki walikuwa wamehamasika vilivyo, na kujikuta wakikata sebene zenye ujumbe mnono kutoka kwa mwanamziki huyo.
Katika shoo hiyo pia ilihuzuliwa na Mh. John Cheyo Mbunge wa Bariadi Mashariki, na wadau wengine akiwemo Papa Jacob Best kutoka pande za South Africa, ambaye alimwaga pesa mbovu kwa Chalza Baba na wanamuziki wote wa bendi hiyo.

0 comments:
Post a Comment