Social Icons

Monday, August 8, 2011

BREAKING NEWZ: MUIGIZAJI SAM LOCO AFARIKI DUNIA
MUIGIZAJI wa filamu kutoka Nollywood SAM LOCO IFE,mapema leo hii amefariki dunia akiwa chumbani katika Hoteli ya Lino state, ambako walikuwa wameweka kambi kwaajili ya kushuti filamu mpya waliyokuwa wameandaa huko nchini Nigeria.
Sam, ambaye alianza kazi ya uigizaji tongu miaka ya 70 kubatika kucheza filamu zaidi ya 50.

Pigo hili ni kwaaigizaji wote wa filamu ulimwenguni kote maana naamini hata wabongo wengi mtakuwa mnamfahamu hata kwa sura.
Bwana alitowa na bwana amwetwaa jina lake na lihimidiwe Ameni.

0 comments: