Social Icons

Saturday, August 13, 2011

'BAJETI YA NGEREJA YAELEWEKA BUNGENI'

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja na Naibu wake Adam Malima, wakipongwezwa na wabunge mbalimbali baada ya kupitishwa kwa Makadirio ya Bajeti ya Wizara yao ya mwaka wa fedha 2011-2012 leo mjini Dodoma.
Picha kwa hisani ya Mjengwa Blog

0 comments: