Kulia ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu za Mkononi wa Airtel TanzaniaMwanza kwa kushirikisha vilabu toka mikoa yote na yatafikia kilele siku ya nanenane.

wa kwanza kulia pichani ni Makoyo Sangula Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Ngumi.
Jackson Mmbando akikabidhi T-shirt 100 kwa niaba ya Airtel kusaidia shirikisho la Ngumi Tanzania anaekabidhiwa ni Katibu wa chama cha Waamuzi wa mchezo wa ngumi Taifa Juma Suleiman (katikati).

T-shirt hizo zitatumika katika mashindano ya klabu bingwa ya Ngumi za Ridhaa yanayoendelea sasa mkoani

Press Release


Airtel support to Boxing federation of Tanzania
Airtel Tanzania today extend its aid to boxing federation of Tanzania towards supporting armature national boxing competition that involves all clubs and region teams in the country. The tournament commenced on Monday 1/8/2011 at kirumba mwanza Stadium to its climax on 8/8/2011.

Speaking during handover ceremony held at Airtel headquarters, National Secretary of referee boxing federation, Juma Suleiman Said "we are happy to receive T-shirt from Airtel that will get to our need for this tournament. It is our plea for Airtel to continue supporting upcoming boxing events when required.


This tournament comprise of Regional and clubs teams from every part of Tanzania aiming also at preparing winners and teams for international boxing competition called All African games to be held in Msumbiji sometime this year.


We therefore urge boxing funs to come and witness these exciting games at kirumba stadium Mwanza. He added Speaking on behalf of Airtel Tanzania the firms Public Relations Manager, Jackson Mmbando said "Airtel is committed in improving sports sector in the country. we are currently running a project known as "Airtel Rising Star" Comprising students' player aged U-17, with an aim of identifying upcoming and talented players and help them advance their carrier football, courtesy of our partnership with Manchester united football club. Respectively we are today supporting boxing federation of Tanzania in promote the game in the country.


Swahili Press Release


Airtel yasaidia mashindano ya ngumi taifa Tarehe 03 July 2011 Kampuni ya simu za mkononi ya airtel imedhamini mashindano ya club bingwa ya taifa ya michezo ya ngumi za rithaa yanayoendelea mkoani mwanza katika viwanja vya kirumba ambapo yatafikia kilele siku ya nane nane 8/8/2011 Akizungumza wakati wa makabidhiano yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam, Katibu wa chama chama cha waamuzi wa michezo ya ngumi taifa, Juma Suleiman alisema.
" Tunaishukuru kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel kwa kutupatia vifaa hivi vya mazoezi ambazo ni T-shirt zitakazotumika na wachezaji wa vilabu shirika toka mikoa yote wakati wa mashindano.Hii inaonyesha kuwa mnadhamira ya dhati ya kusaidia na kuinua kiwango cha mchezo wa ngumi nchini Mashindano haya ya club bingwa ya taifa yanahusisha timu za mkoa na vilabu mbalimbali hapa nchini kwa lengo la kujiaandaa na mashindano ya kimataifa ya All African Game yatakayofanyika msumbiji, hivyo basi tunapenda kuwakaribisha wakazi wote wa jiji la mwanza kuona mashindano haya ni kivutio kikubwa aliongeza Bw Suleiman Akikabidhi msaada huo Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando alisema Airtel imejipanga katika kuchangia sekta ya michezo nchini, Airtel tunaendelea na mkakati wetu wa kukuza michezo aina yote nchini Tanzania na ndio maana leo hii tunaanza ushirika huu na wana masumbwi Tayari tumejikita katiaka mashindano mpira wa miguu ya U-17 ya Airtel rising star ambayo kwa sasa yamefikia ngazi ya nusu fainali, ni matumani yetu kuwa ushirikiano mzuri kati yetu na wadau wa michezo kama hawa watatuletea michanganuo endelevu ili tuendelee kuwa na wanamichezo bora watakaoitangaza nchi yetu vyema katika mashindano mbali mbali.