Mrembo wa Miss kilimanjaro 2011 akiwa aktika pozi la jioni
Hapo je mmeniona jamani..!
Mambo mwendo kilbolibo bado siku mbili tu ifike jumamosi siku ya shindano
Wadau mnaniona hata mguu upo..chek hapa.
Watoto wa kichaga si bure aise...
Sho ni june 18 katika kumbi wa salsanero kiinglio ni 10,000/= viti vya kawaida na v.i.p ni 30,ooo/=
0 comments:
Post a Comment