Mwili wa kijana huyo baada ya kuteketezwa kwa moto na wananchi. Picha inayofuata, wananchi wakishuhudia tukio hilo.
KIJANA mmoja anayedaiwa kuwa ni mwizi wa mifugo katika eneo la kijiji cha Mkambarani mkoani hapa, jana usiku aliuawa na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa kwenye moja la zizi la mifugo ya mkazi mmoja wa kijiji hicho.
Baada ya kumkamata wananchi hao walimpa kipigo kikali na baadae kumpeleka kando kando ya barabara ya Dar es Salaam na kumteketeza kwa moto.

0 comments:
Post a Comment