Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya za Songea baada ya kuwasili mjini Songea. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea Moa wa Ruvuma.
Ngoma ya asili ya makaribisho ya Makamu wa Rais kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea. Dkt. Bilal, akifurahia ngoma ya asili baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa mjini Songea.
0 comments:
Post a Comment