Social Icons

Monday, May 16, 2011

WAVUMBUZI CHARITY UINGEREZA YAISAIDIA BONGO

Ijumaa tarehe 13/05/2011 WAVUMBUZI CHARITY WAKISHIRIKIANA DON COMPUTER CARE SERVICES HAPA UK WAKO KWENYE MIKAKATI YA KUPELEKA MISAADA WA COMPUTER, SOFTWARE NA VITABU KWA AJILI BAADHI YA SHULE MKOANI MARA, NCHINI TANZANIA.. KWA AJILI YA KUINUA SOMO LA IT KWA WANAFUNZI WA SEKONDARY MKOANI HUMO, PIA WATAJARIBU KUPELEKEA MSAADA KWA MIKOA MINGINE TANZANIA IKIWAPO TANGA NA MOROGORO.

0 comments: