Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa wandishi wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zilizochapishwa hivi karibuni katika vyombo vya habari. (kulia ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Tanesco William Mhando. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh (mwenye suti) akizungumza na Kaimu Katibu Mkuu wa chama cha CUF, Julius Itatiro, katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo baada ya CAG Ludovick Utouh, kutoa taarifa ya ufafanuzi kwa vyombo vya habari kuhusu ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zilizochapishwa hivi karibuni katiak vyombo vya habari.

0 comments:
Post a Comment