Mmoja wa wafanyakazi kutoka benki ya NMB pamoja na mwakilishi kutoka kampuni ya GIVOVA wakifungua vifaa vya michezo ambayo huenda vikaanza kutumika hapa nchini iwapo makubaliano yatafanyika na TFF
Kocha wa timu ya TAIFA TAIFA STARS JAN PAULSEN kushoto akiwa na mwakilishi kutoka kampuni ya GIVOVA kutoka ITALIA CORNELUS EHIMIAGHE katikati pamoja na katibu wa TFF ANGETILE OSEAH wakati wa utambulisho wa kampuni hiyo Jinini DSM
EHIMIAGHE akionyesha moja ya jezi inayotengeneza kampuni hiyo
vifaa vya michezo kutoka GIVOVA
Hapa ni moja ya track suti kwa ajili ya wachezaji pamoja na watu

0 comments:
Post a Comment