Mgambo wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wakimzingira dereva wa gari wakidai amepaki vibaya. Baadhi ya madereva wamekuwa wakiwalaumu mgambo hao kwa kuwapakazia makosa ili watoe rushwa.
Jamaa huyu alinaswa na kamera yetu mitaa ya Posta Mpya jijini Dar leo mchana akitembeza sumu ya kuulia viumbe mbalimbali.
Baiskeli ya mfanyabiashara ya matunda ilinaswa maeneo ya Mnazi Mmoja ikiwa imesheheni mananasi na mapapai kufuatia msimu wa matunda hayo kubisha hodi.
0 comments:
Post a Comment