Mshiriki wa Big Brother, Hanni.
Ni siku ya 9 ya Big Brother Amplified.Washiriki wana kazi za ubunifu wa kutengeneza kalenda itakayotokana na picha mbalimbali zisizopungua 12, kila mwezi inatakiwa moja. Kalenda hiyo itatengenezwa na kila kundi.Washiriki watatakiwa wapigwe picha wakiwa wamevaa mavazi maalum kama vile ya kimuziki, ya kuogelea na ya michezo.Waandaji wamepanga Julai 24 kuwa ‘live’ katika Channel 198 Dstv kuonesha ubunifu huo duniani kote.
Mshiriki wa Big Brother, Nkuli
0 comments:
Post a Comment