Social Icons

Saturday, May 14, 2011

ASAMOAH ATUA YANGA KWA KISHINDO


Asamoah akivishwa jezi ya timu hiyo na Katibu Mwenezi wa timu hiyo, Louis Sendeu.

Mashabiki wa Yanga leo walifurika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere kumpokea mshambuliaji wao mpya Kenneth Asamoah ambaye alidaiwa na viongozi wa timu pinzani ya Simba kujiunga timu hiyo baada ya kutua hapa nchini akitokea kwao nchini Ghana.


Mashabiki wakimpokea Asamoah.


Kundi la mashabiki ilibidi lipige nae picha ya pozi baada ya kumuona live uwanjani hapo.


Baada ya kumpokea uwanjani safari ya kuelekea klabu ya timu hiyo ilianza pichani msafara ukipita kwa watani wao wa jadi Simba (Barabara ya Msimbazi).


Katibu Mwenezi wa Yanga akimtambulisha Asamoah kwa mashabiki wa timu hiyo (hawapo pichani)

0 comments: