Social Icons

Monday, April 11, 2011

YANGA YAPOKELEWA KISHUJAA JIJINI DAR

Mapokezi yakiingia kwenye klabu hiyo iliyopo mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam.
TIMU ya Yanga leo imefanyiwa mapokezi makubwa na wanachana pamoja na mashabiki wake wakati wakitokea mkoani Mwanza baada ya kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara jana kwa kuifunga Timu ya Toto African ya mjini humo kwa mabao 3-0.



Nahodha wa Yanga, Shadrack Nsajigwa akiinua juu kombe wakati timu hiyo ikiwasili klabuni hapo.

Mdau wa Yanga, Jerry Muro (kulia), akilishikilia kombe sambamba na mwenyekiti wa timu hiyo Lloyd Nchunga.

Umati wa mashabiki ukiwa nje ya klabu hiyo.

Jerry Murro akiwa na Nahodha wa Yanga Shadrack Nsajigwa ‘Fusso’.

Wachezaji na viongozi wa Yanga wakiwa kwenye picha ya pamoja na kombe.

0 comments: