BENDI hiyo iko kwenye ziara katika mikoa mbalimbali ya Tanzania ikiwa na lengo la kutambulisha nyimbo zao mpya kwa mashabiki wao.
Jana walianza ziara hiyo mkoani hapa na leo watakuwa mjini lringa, moja ya nyimbo zao mpya zilizowapagawisha mashabi waliofurika katika ukumbi huo ni ule wa Kikombe cha Babu wa Loliondo.
0 comments:
Post a Comment