Social Icons

Sunday, April 10, 2011

CCM YAUNGURUMA DODOMA

Dkt. Jakaya Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, akipiga makofi na viongozi waandamizi wa chama hicho mapema leo kabla ya kuanza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kikao ambacho kinafanya maamuzi mazito ya kitaifa.

PICHA: Freddy Maro

0 comments: