Waziri wa Maliasili na Utalii, Bw. Ezekiel Maige akipata kikombe cha Babu Ambilikile Mwasapile.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dkt. Teresya Huvisa akisikiliza kwa makini maelezo ya Mchungaji Mwasapile namna alivyopata uwezo wa kutoa tiba. Baadae waziri huyo alipata kikombe kutoka kwa babu.
0 comments:
Post a Comment