Social Icons

Monday, March 21, 2011

VIDEO YA `SHOW ME LOVE` YATENGENEZWA

Hapa katika harakati ya kutengeneza video Abamto na Young Dee wimbo unaitwa Show me Love. Video hii imetengenezwa na KIUMBE VIDEO & AUDIO

Juma Nature alikuwa anakatiza maeneo haya ya posta na akusita kusalimia kidogo na kutoa baraka zake.

0 comments: