Mwandishi Mwandamizi wa gazeti hili Makongoro Oging’ akimkabidhi msaada wa fedha Kundi Luhende katika Hospitali kuu ya magonjwa ya Saratani ya Ocean Road wiki iliyopita ikiwa ni ndani ya utaratibu uliowekwa na uongozi wa gazeti hili ulioitwa Saidia Ubarikiwe kwa ajili ya kuwasaidia waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Tuesday, March 1, 2011
SAIDIA UBARIKIWE YAKABIDHI MSAADA
Mwandishi Mwandamizi wa gazeti hili Makongoro Oging’ akimkabidhi msaada wa fedha Kundi Luhende katika Hospitali kuu ya magonjwa ya Saratani ya Ocean Road wiki iliyopita ikiwa ni ndani ya utaratibu uliowekwa na uongozi wa gazeti hili ulioitwa Saidia Ubarikiwe kwa ajili ya kuwasaidia waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Labels:
www.mateja20.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment