Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Fanuel Mbonde kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu kwenye sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi kabla ya Safari kuelekea nchini Ufaransa. Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa pili kulia akiwa kwenye picha ya pamoja na Makatibu Wakuu walioapishwa jana Ikulu. Weninge ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) , Mhe. Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal (wa pili kushoto) pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi ndugu Phillemon Luhanjo (wa kwanza kushoto).
Picha na Anna Itende-MAELEZO
0 comments:
Post a Comment