Social Icons

Wednesday, March 2, 2011

MBUNGE GODLESS LEMA AWALIPIA ADA NA MATIBABU WANAFUNZI 400

Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema (kushoto) akihutubia katika hafla ya kukabidhi msaada wa ada na kadi za afya kwa watoto 400 wenye uhitaji jimboni Arusha Mjini, hafla hiyo ilifanyika nje ya ofisi za Mbunge huyo, kulia kwake ni mwenyekiti wa mfuko wa maendeleo ya jimbo la Arusha Mjini(ArDF), Elfuraha Mtowe.


Jumla ya watoto 400 wenye uhitaji wakati wa hafla ya kukabidhiwa ada na kadi za afya zilizokabidhiwa na Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema iliyofanyika nje ya ofisi za mbunge huyo.

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini,Godbless Lema (mwenye tai nyekundu) akijumuika na watoto 400 wenye uhitaji ambapo walikabidhiwa ada pamoja na kadi za afya nje ya ofisi za mbunge huyo, jumla ya kiasi cha shilingi milioni 60 ziligharimu mahitaji hayo.

0 comments: