Social Icons

Sunday, March 20, 2011

PROFESSOR JAY ATUA INDIA KUKAMUA

Professor Jay (kati), akiwasili nchini India mapema leo kwa ajili ya shoo wikiendi hii Bangalore. Wikiendi ijayo, Jay atakuwa miongoni mwa wasanii watakaokamua katika Uzalendo Concert itakayofayika jijini Dar katika viwanja vya Biafra.

0 comments: