Social Icons

Thursday, March 24, 2011

MKURUGENZI WA VODACOM ATENBELEA AFRICA MEDIA GROUP NA IPP

Mtangazaji wa Magic Fm Salma Msangi akiwa kazini
Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiwa kwenye studio mpya na ya kisasa ya Channel Ten iliyo chini ya Africa media group.
Baadhi ya wageni wa Vodacom Tanzania na viongozi mbalimbali wa Africa Media group wakiangalia jinsi matangazo yanavyorushwa kwenye radio ya Magic FM.
Mkurugenzi wa IPP media Joyce Mhavile akifafanua jambo kwa Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare , Mkurugenzi Mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba mara walipotembelea IPP media group leo kwa ajili ya kujenga mahusiano ya kufanya kazi kwa pamoja.
Channel Director wa ITV Koigi Macharia akimuonyesha Mkuregenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare jinsi wanavyorusha matangazo kwenye televisheni.
Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akifafanua jambo kwa mwandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha Capital Robert Ocheng, alipotembelea vyombo vya habari vya IPP kwa ajili ya kujenga mahusiano ya kufanya kazi kwa pamoja.
Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare wapili toka kushoto akiongea na uongozi wa Africa Media Group walipowatembelea kwenye ofisi zao kwa ajili ya kujenga mahusiano ya kufanya kazi kwa pamoja na kuwapongeza kwa kuporesha studio zao.

0 comments: