Miriam akikabidhi misaada kwa wawakilishi wa wanafunzi hao ambao ni Abilai Zakaria (kulia) na Julius Mdoe (wa pili kulia).
MWIMBAJI nyota wa Injili, Miriam Lukindo leo amekabidhi misaada mbalimbali kama neti, Sabuni, madaftari, dawa ya mbu na juisi katika shule ya Mtoni Maalum, iliyopo Temeke jijini Dar es Salaam wanaposoma watoto walemavu.
Miriam alikabidhi vitu hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni moja huku akiwakumbusha baadhi ya waimbaji wenzake wa injili kutokuwa wabinafsi bali wakumbuke kuwa kuna watu wengine wanaohitaji mahitaji muhimu kama wanafunzi hao.
Miriam akimkabidhi shuka mwakilishi wa wanafunzi, Abilai Zakaria.
Wanafunzi wa shule ya Mtoni Maalum wakiwa tayari kwa ajili ya chakula cha mchana.
Miriam akiongea jambo na wanafunzi hao wakati wakipata chakula.
Miriam akisalimiana na mmoja wa watoto wa shule hiyo.
...akiagana na Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Godwin Mnyamisi.
Bango la shule hiyo Maalum ya Temeke Mtoni jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment