skip to main |
skip to sidebar
MAREHEMU ISSA KIJOTI AZIKWA
Mwili wa Marehemu Issa Kijoti, Mwimbaji wa Five Star Morden Taarab ukifanyiwa mazishi katika makaburi ya Mtoni Sabasaba jana mara baada ya kuwasili kutoka mkoani Morogoro ambako marehemu na wengine walipoteza maisha katika ajali ya gari.
Waombolezaji wakishusha jeneza lenye mwili wa marehemu Kijoti mara baada ya kuwasili makaburini.
0 comments:
Post a Comment