Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile (kushoto) akimpa dawa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), William Lukuvi na Rosemary Nyerere mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Williamu Lukuvi akiwa ameshika tawi la mti aina ya Mugamuryaga ambao huchimbwa mizizi yake na kuchemshwa dawa. Pembeni ni Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Elias Wawalali akimuonyesha mti huo.
Picha na Mdau Sufiani Mafoto
0 comments:
Post a Comment