Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB,Iman Kajura pamoja na Balozi wa Redd's 2010,Consolata wakikabidhi tuzo ya Msanii Bora wa Kike iliyokwenda moja kwa moja kwa Lady Jay Dee na kupokelewa na mdau aliejitokeza kumuwakilisha kutokana na kuchelewa kufika kwa msanii huyo.
Mapacha Watatu wakitoa makamuzi ya kufa mtu muda mfupi baada ya kutwaa tuzo ya Wimbo Bora wa Kiswahili wa Bendi.
Baadhi ya wadau waliohudhulia kwenye mchakato huo katika pozi.
Warembo wakijiachia katika hafla hiyo.
Wadau wakiwa wamesimama Dakika moja kwaajili ya kuwaombea wanamuziki wa kundi la 5 Star Moden Taarab waliofariki kwa ajali hivi karibuni.

3 comments:
kill ya safari hii imetulia sana hongera sana 20 umevuna ulichopanda hivi hawa waandaaji wamepaje Mpokl tunzo kwa kipi haswa? tuache uzalendo usio na mana hatujengi ila tunabomoa
Mpoki hakustahili kabisa kuchukua hiyo tunzo ya wimbo bora wa asili ila kabebwa tu wimbo wake hauna kichwa wala miguu tusilete ushabiki na uzalendo kwani tunazidi kurudisha nyuma mziki wetu.
Mpoki umebebwa tu.
Post a Comment