Social Icons

Tuesday, March 22, 2011

FIVE STAR MODERN TAARABU WALIOKUFA NI.......

Waliofariki katika ajali ya Bendi ya Five Star ni pamoja na
Issa Kijoti, Omar Tolu, Haji Babu, Sheba Juma, Omar Hashim, Tizo Mgunga, Hamisa Mipango, Husna Mapande, Samir Maulid, hasan Ngereza, Rama Kinyoya, Nasoro Madenge na mcheza shoo wakitu tigo mmoja.


Hawa ni marehemu waliokufa kwenye ajali hiyo na mwili wa tatu ndio Issa Kijoti aliyekuwa mwimbaji mzuri kabisa katika bendi hiyo ya Five Star Mordem Taarabu

Picha hizi ni kwa hisani ya Salim Chuma

1 comments:

Muhidin Issa Michuzi said...

Hongera kwa kazi nzuri. Ila hapa kidoooogo umeteleza> Ethically na professionally picha za marehemu huwa hazianikwi kama ulivyofanya> sie wote tunazo, tena za eneo la tukio hata kabla hawajatolewa garini. Pse heshimu taaluma na ondoa hizo picha pse zinaondoa credibility ya blogs na sio sifa