Choki akizungumza na wanahabari leo mchana.
BENDI ya Extra Bongo leo mchana imetambulisha nyimbo zake mpya kwa waandishi wa habari ambapo Mkurugenzi wa bendi hiyo Ally Choki ‘Mzee wa Farasi’ amesema Ijumaa ya Machi 4 mwaka huu, watafanya onesho kubwa la kutambulisha nyimbo mpya na wanamuziki sita iliyowachukua Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kwa mashabiki wao katika Ukumbi wa New Msasani Beach Club, jijini Dar es Salaam.
Nyimbo zilizotambulishwa leo ni pamoja na “Mtenda akitendewa” na “Fisadi wa Mapenzi”.
Tuesday, March 1, 2011
EXTRA BONGO YATAMBULISHA MPYA LEO
Labels:
www.mateja20.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment