
Fonabo alisema kuwa tayali amekwishaisambaza nyimbo hiyo katika 'stesheni' mbalimbali za redio hapa nchini na kwamba inazidi kufanya vizuri.
Kufuatia ubora wa single yake hiyo hatimaye amepata maoni mbali mbali kutoka kwa mashabiki zake na kwamba wanamuomba aifanyie video.
" Kwa kifupi mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Shinyanga..na hii ndiyo nyimbo yangu ya kwanza,na matarajio yangu ya sasa ni kufanya video, kwasababu wadau wameipokea na inafanya vizuri katika media nyingi. Kwa sasa nafanya kazi na Tough Records (Morogoro)".
Hivyo basi wadau wangu wote naomba support kutoka kwenu". Alisema Fonabo.
Fonabo no:0713653076
0 comments:
Post a Comment