Social Icons

Thursday, February 10, 2011

AJALI YA ROLI YAUA MMOJA DAR LEO

Wasamaria wakitoa msaada.

LORI aina ya Scania lenye namba za usajili T 866 ABP lililokuwa likitokea upande wa Kimara kulekea Ubungo leo asubuhi limesababisha maafa katika barabara ya Morogoro eneo la Rombo jijini Dar es Salaam baada ya kumshinda dereva aliyekuwa akiliendesha na kuzigonga gari nyingine ikiwemo Toyota Land Cluiser, Toyota Coaster iliyokuwa na abiria pamoja na Canter ya mizigo ambayo dereva wake alifariki papo hapo. Dereva wa lori hilo alikimbia baada ya ajali hiyo kuhofia kichapo kutoka kwa wananchi.


Canter ambayo dereva wake alipoteza maisha.

Mashuhuda waliofika kwenye tukio hilo.

Bodi la Canter likiwa mtaroni baada ya ajali.

Umati wenye shauku kufahamu kilichotokea.

Askari wa kikosi cha usalama barabarani wakipima chanzo cha ajali.

0 comments: