Social Icons

Wednesday, January 12, 2011

LOWASA ATINGA SHEREHE YA MIAKA MITANO YA THT


Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowasa akizama ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam na mkewe Mama Regina Lowasa.
Da'Kemi akimuogoza Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk.Emmanuel Nchimbi wakati wa kuingia ukumbini usiku huu kwa ajili ya kuhudhuria maadhimisho ya miaka 5 ya THT na Mkurugenzi wa utamaduni Prof Hermus Mwansoko.
Kutoka kulia ni Linah,Barnaba,Mataluma,Ditto,Mwasiti na Amin wakiwa katika picha ya pamoja

0 comments: