Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana akiwaonyesha kitabu chenye Alama za Taifa vijana 11 watakaoondoka nchini kuelekea Japan kushiriki mpango wa vijana wa Meli ya Kimataifa na kuwataka kutumia muda wao kipindi chote cha miezi 3 watakapokua Japan kuitangaza Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bi. Joyce Shaidi na Kiongozi wa msafara wa vijana hao Bw.Olav Mkopi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana akimkabidhi Vitabu vyenye alama za Taifa Bw. Olav Mkopi, kiongozi wa vijana 11 watakaoelekea nchini Japan na kukaa kipindi cha miezi 3 Kushiriki Mpango wa Vijana wa Meli ya kimataifa utakaowashirikisha vijana kutoka mataifa mbalimbali duniani.
Vijana kutoka Tanzania watakaoondoka nchini kushiriki Mpango wa Vijana wa Meli ya kimataifa uliopangwa kufanyika nchini Japan wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bi. Joyce Shaidi na Mkururugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Clement Mshana(katikati) leo jijini Dar es salaam.

0 comments:
Post a Comment