Social Icons

Thursday, January 13, 2011

SIMBA SC YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI


Nahodha wa Timu ya Simba SC, Nico Nyagawa akinyanyua Kombe la Mapinduzi kuwaonyesha wapenzi na wanachama wa timu hiyo kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar muda mfupi baada ya kutwaa kombe hilo kwa kuifunga timu ya Yanga kwa mabao 2-0 kwenye mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia leo kumalizia shamrashamra za sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar.



Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kombe la mashindano ya mapinduzi, Nahodha wa timu ya Simba, Nico Nyagawa baada ya timu ya Simba SC kuifunga Yanga SC kwa Mabao 2-0 na kufanikiwa kutwaa kombe hilo.

Wachezaji wa timu ya Simba pamoja na wapenzi na mashabiki wa timu hiyo wakifurahia kombe.

0 comments: