Elizabeth Gupta (kulia), akiwa na mme wakemtarajiwa Kelvine ndani ya ukumbi wa Diamond Jublee usiku wa kuamkia leo.
Eliza akijiandaa kukata keki tayari kwa kumlisha mpendwa wake.
USIKU wa kuamkia leo, Star wa Big Brother Elizabeth Gupta, na mme wake mtarajiwa Kelvine, jana walianza safari yao ya kuelekea kufunga pingu za maisha.
Ishu hiyo ilifanyika ndani ya ukumbi wa Diamond Jublee, kuanzia majira ya saa moja jioni na kumalizika saa sita usiku.
Katika sherehe hiyo ndugu wa Kelvine kutoka Nigeria walikuwa wengi na kwamba walimzawadia Shemeji yao pesa kibao za kinaigeria na Dolla za kimarekani.
Hongera Kelvine na Eliza kwa hatuwa mliyofikia.

0 comments:
Post a Comment