Social Icons

Wednesday, January 12, 2011

Mwenyekiti wa ASET, Baraka Msilwa akiongea jambo katika hafla hiyo.
Mh Iddi Azzan akimlisha ndafu Mwenyekiti wa bendi hiyo,Baraka Msilwa.
Rogart Hegga wa pili kulia akiimba wimbo wa kisa cha mpemba na wenzake.
Luiza Mbutu (kulia),akiongoza kukata nyonga safu ya waimbaji wa bendi hiyo.
Asha Said "Shalapova' (kulia),akiwajibika na wenzake usiku huo.
Super Nyamwela wa pili kulia, akiongoza safu hiyo.

0 comments: