Social Icons

Saturday, November 20, 2010

VIJIMAMBO USIKU WA MANANE BONGO!

Mdau wa Muziki wa Dansi nchini, King Dodoo (kulia) akimlisha keki kwa mdomo mke wake katika kufurahia miaka 16 ya ndoa yao bila Zengwe.
Hafla hiyo waliifanyia ndani ya Ukumbi wa Msasani Beach Club, jijini Dar es Salaam juzi usiku.

Mke wa King Dodoo akimlisha keki Prezdaa wa Akudo, Christian Bella.

Oooh! amemlisha vibaya keki imemchafua Prezdaa.

.Wanenguaji wa Akudo Impact, wakiwajibika jukwaani leo alfajiri. Wa pili kutoka kushoto ni Prezdaa Msaidizi wa Akudo, Tarcis Masela.

.Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha C2C, Lulu Semagongo (kushoto) akiwa kwenye pozi na Meneja wa Akudo Impact ndani ya Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar leo alfajiri.

Prezdaa wa Akudo, Christian Bella akiimba na noti usoni baada ya kumwagiwa mkwanja na Pedeshee Pius Ruta ‘Mzee wa Pamba’ (hayupo pichani).

0 comments: