Social Icons

Thursday, November 18, 2010

BOZI BOZIANA KUTUA KESHO D'AR SALAAM

Mwanamuzi kutoka Demoklasia ya Kongo Bozi Boziana, kesho anatarajiwa kutuwa nchini na baadhi ya wanamuziki wake, kwaajili ya kufanya shoo mbili hapa jijini Dar es Salaam. Mwanamuziki huyo atakuwepo nchini kwa udhamini wa African Stars Entertainment.

0 comments: